Jun 30, 2012
Podcast · Swahili
Talisman Brise
France Médias Monde
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
Episodes
Ordered by publication date.
2 minutes
Jun 30, 2012
Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.
2 minutes
Jun 23, 2012
Talisman Brise - Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwa
2 minutes
Jun 23, 2012
Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwa
2 minutes
Jun 16, 2012
Talisman Brise - Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...
2 minutes
Jun 16, 2012
Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...
2 minutes
Jun 9, 2012
Talisman Brise - Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa Omar
2 minutes
Jun 9, 2012
Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa Omar
2 minutes
Jun 2, 2012
Talisman Brise - Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..
2 minutes
Jun 2, 2012
Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..
2 minutes
May 5, 2012
Talisman Brise - Profesa Abubakar abainika kuwa bandia
2 minutes
May 5, 2012
Profesa Abubakar abainika kuwa bandia
2 minutes
Apr 28, 2012
Talisman Brise - Watekaji nyara wadai pesa ili kumwachia profesa Omar
2 minutes
Apr 28, 2012
Watekaji nyara wadai pesa ili kumwachia profesa Omar
2 minutes
Apr 21, 2012
Talisman Brise - Kwame anamtumia mbinu mbali mbali za kumpata Profesa Omar ikiwemo kumtumia mganga wa jadi, Je atafanikiwa?
2 minutes
More related podcasts
Other podcasts in News & Politics.